Gavana Ali Roba aahidi kukumbana na ufisadi Mandera baada ya kupokea ripoti
219 views · Published 17 January 2018 · 1:00 · Indexed 20 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Kaunti ya Mandera imepokea ripoti ya jopokazi lililobuniwa kuchunguza madai ya ufisadi kwenye idara mbalimbali za usimamizi wa kaunti. Miongoni mwa yaliojitokeza kwenye ripoti hio ni kuwa kaunti hio ina wafanyikazi hewa takriban 100, ambao wanapokea mishahara kila mwezi. Tayari wafanyikazi 24 wamesimamishwa kazi huku kaunti ikiahidi kutekeleza mapendekezo ya ripoti hio huku wahusika wakichukuliwa hatua za kisheria. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
4:53
Environmentalists fight for Arabuko Sokoke forest
-
15:09
Dawn of new system: Details of the new school curriculum (Part 1)
-
2:49
Detectives investigate a syndicate suspected to be involved in human trafficking in Mombasa County
-
5:20
Economy on steady trajectory: Week in review
-
15:39
Dira la Wiki full bulletin 2018/01/05-Rais Uhuru Kenyatta atangaza baraza la waziri