Wanachama wa Jumaa Farmers company waitaka serikali iingilie kati ya mzozo wa ardhi

167 views · Published 16 January 2018 · 1:59 · Indexed 11 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Zaidi ya wanachama 200 wa  kampuni ya umiliki wa ardhi ya Jumaa Farmers Company limited wameitaka serikali kuingilia kati ili kumaliza mzozo unaoizingira ardhi ya ekari 650 katika kaunti ya Nakuru. Kampuni hii inayofanya shughuli za kununua na kuuza ardhi inadai kufanya shughuli za aina hiyo tangu mwaka 1977 ila sasa mizozo ya umiliki wa mali kwenye kampuni hiyo imeleta shida katika utenda kazi wake.wanachama wametoa wito huo wka serekali katika mkao waop wa mwaka.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel