CHIRWA wa YANGA Afungiwa na TFF na FAINI ya Laki 5
219 views · Published 15 January 2018 · 1:29 · Indexed 22 September 2026
Channel: Rick Media · 2018 · Entertainment
Baada ya wiki iliyopita kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania TFF kushindwa kufanya maamuzi ya kesi ya utovu wa nidhamu wa mchezaji wa kimataifa wa Zambia anayeichezea Yanga Obrey Chirwa kutokana na kushindwa kufika katika kesi hiyo. Jumapili ya January 14 2018 kamati ya nidhamu ya TFF ilikaa na kumsikiliza Chirwa kabla ya kutoa adhabu, Chirwa alituhumiwa kwa utovu wa nidhamu aliyouonesha wakati wa mchezo wa Yanga dhidi ya Tanzania Prisons. .......................................................................................... RICK MEDIA tupo pamoja nawe kukupatia habari za Burudani na Michezo ambazo zinajitokeza kila siku pande zote za dunia. Tafadhali SUBSCRIBE ili uendelee kukaa nasi karibu muda wote. Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com -----------------------------------------------------------------------------------
More from this channel
-
2:00
Alichokisema Ruby kuhusu kuwa na Mimba ya Alikiba
-
2:37
IDRIS SULTANI Amtetea WEMA SEPETU baada ya kuandamwa INSTAGRAM
-
1:52
FID Q, A.Y na MWANA FA wachafua hali ya HEWA. Wajiunga na kufanya Makubwa
-
2:07
Kisa NANDY, RUBY awacharukia WAANDISHI wa HABARI
-
1:55
SHILOLE Ashindwa kujizuia kwa DIAMOND, Atoa ya MOYONI akiwa ULAYA
-
3:20
BABU TALE Ampaka MAFUTA MKEWE HADHARANI, Afunguka Mengi usiyoyajua
-
2:18
MAMBO 8 USIYOJUA KUHUSU KIFO, LAZIMA USTAAJABU
-
1:35
TAMKO JIPYA la JESHI LA POLISI Kwa WANANCHI wa DAR ES SALAAM