Mkenya aliyetambuliwa kimataifa kwa utayarishi asimulia safari take katika filamu

1,617 views · Published 24 August 2018 · 3:06 · Indexed 26 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Sanaa ni mojawapo ya fani ambazo vijana wanaweza kutumia kujikimu kimaisha na wengi wanaishiriki kwa sasa. David Kinyanjui, mtayarishi wa filamu, ni mmoja wao na alimsimulia mwanahabari wetu Leila Mohammed kuhusu safari yake ambayo imemuwezesha kutuzwa tuzo kadhaa kimataifa.

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel