Ibada ya kumkumbuka Chris Msando yafanywa

1,476 views · Published 28 July 2018 · 2:41 · Indexed 22 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wabunge wanaoegemea upande wa kiongozi wa nasa raila odinga ni miongoni mwa waliofika kwenye hafla ya kumbukumbu ya mwendazake chris msando, aliyekuwa meneja wa   teknolojia wa iebc aliyeuwawa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu 2017, odinga akidai maafisa wa serikali wanahujumu uchunguzi wa kuhusu kifo chake


SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel