Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng'eno aoa mpenziwe

3,031 views · Published 18 August 2018 · 2:05 · Indexed 21 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Hatimaye mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ngeno amefunga pingu za maisha na mpenziwe Nayionoi Ntutu kwenye harusi iliyohudhuruwa na baadhi ya watu mashuhuri akiwemo naibu rais William Ruto. 
Harusi hiyo ilifanyika katika shule ya msingi ya Emurua Dikkir katika kaunti ya Narok.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel