Msongamano wa trela ni kero Busia

225 views · Published 10 September 2018 · 2:13 · Indexed 2 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kwa siku ya tano sasa mji wa Busia umekumbwa na msongamano wa trela zinazosafirisha mafuta na bidhaa nyingine kuelekea katika mataifa ya Uganda,Rwanda na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo. Trela zimepiga foleni ndefu kando mwa barabara kuu ya Busia kuelekea kisumu huku zikisababisha msongamano katika mji huo wa mpakani na. Hali hiyo imewatatiza wahudumu wengine wa usafiri, kama vile boda boda na malori. Naibu gavana wa kaunti ya Busia Moses mulomi amesema kuwa tayari serikali ya uingereza imetoa shilingi milioni mia mbili ili kusaidia kupanua barabara hiyo jambo litakalosaidia kupunguza msongamano huo katika mji wa Busia.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel