Soko la Mudavadi mjini Nyeri lateketea
429 views · Published 7 May 2018 · 2:17 · Indexed 20 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Shughuli zilisimama katika soko la Mudavadi mjini Nyeri baada ya mkahawa mmoja katika soko hilo kushika moto. Kwa mujibu wa walioshuhudia mkasa huo, moto huo ulianzishwa na mlipuko wa mtungi wa gesi uliokuwa ukitumika na mmoja wa wafanyakazi.Wazima moto kutoka serikali ya kaunti ya Nyeri walifika mapema na kuudhibiti huo moto SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
4:53
Environmentalists fight for Arabuko Sokoke forest
-
15:09
Dawn of new system: Details of the new school curriculum (Part 1)
-
2:49
Detectives investigate a syndicate suspected to be involved in human trafficking in Mombasa County
-
5:20
Economy on steady trajectory: Week in review
-
15:39
Dira la Wiki full bulletin 2018/01/05-Rais Uhuru Kenyatta atangaza baraza la waziri