Francis Atwoli ataka mabadiliko kwenye katiba kabla ya uchaguzi wa mwaka 2022

207 views · Published 15 December 2018 · 1:28 · Indexed 1 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Katibu wa Muungano wa Wafanyikazi COTU Francis Atwoli amesisitiza lazima kutakuwepo na mabadiliko ya kikatiba kabla ya uchaguzi wa mwaka 2022. Mabadiliko hayo yataleta usawa wa kiuongozi na  kusuluhisha changamoto na mizozo  ya kisiasa ambayo imekuwa ikishuhudiwa. Aliyasema hayo katika hafla ya mahafala ya chuo cha masinde muliro  alipotuzwa na shahada kutokana na juhudi zake za kuleta hamasa kuhusu harakati za wafanyikazi nchini.  




SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel