Gavana Obado ataendelea kuwa rumande katika gereza la viwandani

4,540 views · Published 27 September 2018 · 2:57 · Indexed 26 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Gavana wa Migori, Okoth Obado, atasalia rumande kwa siku kumi zijazo baada ya ombi lake la dhamana kutokubaliwa. Obado, msaidizi wake Michael Oyamo pamoja na karani katika serikali ya kaunti ya Migori, Caspal Obiero, walishtakiwa kwa mauaji ya Sharon Otieno. Mwananabari wetu Seth Olale ana maelezo zaidi kuhusu kesi hiyo.

More from this channel