Mwongozo wa utekelezaji wa viwango vya Usafi Mimea (phytosanitary) katika misitu
94 views · Published 25 May 2012 · 1:30 · Indexed 28 September 2026
Channel: Food and Agriculture Organization of the United Nations · 2012 · Nonprofits & Activism
Mwongozo wa utekelezaji wa viwango vya Usafi Mimea (phytosanitary) katika misitu ulitayarishwa na kikundi cha kimataifa cha wanasayansi, mamlaka ya Usafi Mimea na wawakilish wa sekta ya misitu ukifadhiliwa na secretari ya mkataba wa kimataifa wa Kuhifadhi mimea (IPPC) yenge makao FAO na kuhakikiwa na washika dau zaidi ya mia moja wanaotoka katika sekita mbalimbali ulimwenguni. Mwongozo huu unatoa maelekezo wazi na sahihi kuhusu namna ya kuimarisha afya ya misitu itakayopunguza uwepo wa wadudu waharibifu ili kuimarisha usafirishaji salama wa mazao ya misitu. www.fao.org/forestry/foresthealthguide © FAO www.fao.org
More from this channel
-
8:46
Economic diversification: The Greenhouse (FAO of the UN)
-
10:52
Patio Hogar: A Healthy family environment (FAO of the UN)
-
8:31
Food Transformation: Ground Coffee (FAO of the UN)
-
8:49
Healthy Farm & Home: Cantero Molina Family (FAO of the UN)
-
8:12
Rural Banks: Contribution to food security, (FAO of the UN)
-
0:31
Today we're celebrating a funeral. Hunger R.I.P.
-
2:28
David Beckmann, President of "UN Alliance Against Hunger"
-
1:01
Dee Dee Bridgewater - FAO Goodwill Ambassador