Watoto wawili mapacha wamefariki baada ya nyumba yao kuteketezwa na moto

226 views · Published 15 October 2018 · 1:59 · Indexed 1 October 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Watoto wawili mapacha wenye umri wa miaka minne wamefariki baada ya nyumba yao kuteketezwa na moto. Wawili hao walikuwa wameachwa na wazazi wao wakiwa peke yao nyumbani wakati mkasa huo ulipotokea. Naibu OCPD wa Nyeri Bernard Amugune alithibitisha kisa hicho na kusema kuwa polisi na idara husika wanafanya uchunguzi kubaini chanzo cha moto huo. Aliwaomba wazazi kuwa waangalifu kila wanapotoka nyumbani na kuacha watoto.



SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel