Kenya imejiondoa kuandaa mashindano ya CECAFA

79 views · Published 28 August 2018 · 1:28 · Indexed 23 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kenya imejiondoa kuandaa mashindano ya kina dada ya ubingwa wa afrika baada ya kukosa kufikia viwango vya shirikisho la soka barani afrika. Kwa kile ambacho CAF wanadai ni ukosefu wa viwanja vya kutosha vinavyofikia viwango vya kuandaa michuano ya kimataifa. Wakati uohuo kenya pia imejiondoa kutoka uenyeji wa mashindano ya CECAFA  yaliyokuwa yaandaliwe mwezi desemba baada kukosa fedha za kutosha kuaanda mashindano hayo.


SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel