Mtahiniwa wa shule ya upili ya St Augustine atoweka
283 views · Published 5 September 2018 · 1:24 · Indexed 30 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Mtahiniwa wa darasa la nane katika shule ya St. Augustine Academy huko Narok ametoweka na hajulikani aliko. Alex Otieno mwenye umri wa miaka 14 alitoweka nyumbani mwezi uliopita. Kulingana na mamake Miriam Kwamboka , Alex alipotoka nyumbani tarehe 28 mwezi uliopita kwenda shuleni alikataa kupanda basi la shule kama ilivyo desturi na akatumia pikipiki akiwahakikishia wenzake kwamba wangekutana shuleni lakini hadi leo hajulikani alikokwenda. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:29
Relationships: Signs that indicate a possibility of a relationship crumble
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
4:12
Story of man said to have been rescued from a troop of monkey
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
9:44
Wakristo duniani washeherekea sikukuu ya krismasi: Jukwaa la KTN
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
2:17
Remember the needy: Church remembers on Xmas day