Viongozi wa NASA wamkana Kipchumba Murkomen kwa kumtaja Raila Odinga katika mzozo wa Mau

1,067 views · Published 20 July 2018 · 1:56 · Indexed 25 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Shughuli ya  kuwafurusha wakaazi wa Msitu wa Maasai Mau unachukua mkondo tofauti sasa baada ya mbunge wa Narok North Moitalel Ole Kenta kuwaongoza wabunge wengine wa mrengo wa NASA katika kumkashifu seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen kwa kile walichodai kuwa ni kulipaka tope jina la kiongozi wao  Raila Odinga kwenye shughuli hiyo


SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel