Uchaguzi wa Useneta Migori wakaribia
369 views · Published 10 August 2018 · 2:11 · Indexed 21 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Wagombeaji wawili wa useneta wa kaunti ya Migori wameidhinishwa na tume ya uchaguzi nchini IEBC kuwania nafasi hiyo. Akizungumza jana jioni afisa msimamizi wa uchaguzi katika kaunti ya Migori ruth kulundu amesema kuna wawaniaji wengine watano wanaotarajiwa kuwasilisha stakabadhi zao kufikia alasiri ya leo. Dickson Ogola alikuwa wa kwanza kuwasilisha stakabadhi zake akifuatwa na mgombeaji wa chama cha ODM Ochilo Ayako. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
3:21
Asante ya Punda:Moses Sila ni mwanabaharia Mombasa,lakini analalamikia pato duni
-
9:05
Mikakati ya Henry Rotich:Azungumzia mikakati ya fedha nchini
-
0:51
EFG Power Projects:Projects to total 400-500 Mega Watts
-
2:28
Maandamano Maungu:Wenyeji wateta kuhusu barua waliopewa yakuwataka waondoke
-
1:34
Familia ya Joseph Ng'ethe aliyeuwawa na manamba na madereva wa Marimba Sacco wanadai haki ifanyike
-
13:47
Weekend Express: Top tech trends in 2017 (Part 2)
-
15:51
Mahojiano na gavana wa Kaunti ya Mombasa, Ali Hassan Joho