Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Elgeyo Marakwet baada ya wizi wa mifugo
211 views · Published 5 August 2018 · 1:44 · Indexed 28 September 2026
Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics
Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha kapyego kaunti ya Elgeyo Marakwet baada ya wavamizi wanaoaminika kutoka kaunti jirani kuiba mifugo katika eneo hilo. Baadhi ya viongozi wamelalamikia utepetevu wa vikosi vya usalama unaolemaza jitihada za kupambana na wizi wa mifugo katika eneo hilo. Matukio ya hivi punde yanajiri baada ya eneo hilo kushuhudia mashambulizi ya mara kwa mara katika maeneo ya mpakani kati ya kaunti ya elegeyo marakwet, pokot magharibi na baringo. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:29
Relationships: Signs that indicate a possibility of a relationship crumble
-
12:33
Azma Yangu
-
1:59
Hali ya sherehe za krismasi Bomet
-
4:12
Story of man said to have been rescued from a troop of monkey
-
2:03
Sherehe za Krismasi:Wakenya wazuru eneo mbalimbali kusherekea Krismasi
-
9:44
Wakristo duniani washeherekea sikukuu ya krismasi: Jukwaa la KTN
-
12:23
Waamini wa kristo washeherekea sikukuu ya krismasi: KTN Leo
-
2:17
Remember the needy: Church remembers on Xmas day