Faili ya kesi ya ufisadi katika KPL imesimamishwa kwa muda

170 views · Published 22 October 2018 · 1:29 · Indexed 20 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kesi inayowakabili maafisa 14 wa  kampuni ya usambazaji umeme nchini katika sakata ya ununuzi wa mitambo duni ya transformer inaendelea. Maafisa waliofikishwa mahakamani ni pamoja aliyekuwa afisa mkuu mtendaji ben chumo.
Faili kuhusu kesi hiyo imeripotiwa kutoweka  na sasa kiongozi wa mashtaka ametaka kesi hiyo iahirishwe huku uchunguzi ukifanyika.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel