Copy of Vibanda na nyumba zabomolewa katika kaunti ya Nyeri

97 views · Published 28 October 2018 · 4:11 · Indexed 21 September 2026

Channel: KTN News Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wakaazi na wafanyibiashara wa soko la Chaka katika kaunti ya Nyeri walipigwa na butwaa baada ya matingatinga kuvamia eneo hilo na kuanza kubomoa vibanda na nyumba usiku wa manane. 

Wakaazi hao sasa wanailaumu mamlaka ya usimamizi wa barabara kuu nchini, KENHA, kwa  kubomoa vibanda hivyo vilivyoko  katika eneo lililotengewa upanuzi wa barabara bila kuwapa ilani.

Wanasema kuwa waligutushwa  usiku wa manane na  kelele za tinga tinga iliyokuwa ikibomoa vibanda hivyo. Sasa wamesalia kusubiri soko lingine ambalo ujenzi wake 
ulizinduliwa na rais uhuru kenyatta  miaka miwili iliyopita ukamilike.

Haya na mengine mengi katika makala haya ya Mbiu ya KTN 

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews  

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya 

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android 




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

More from this channel