Mzozo wa uongozi wavuruga vikao vya bunge la kaunti ya Nyandarua

137 views · Published 24 October 2018 · 2:21 · Indexed 30 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kwa mara nyingine, shughuli za bunge zilitatizwa katika kaunti ya Nyandarua baada ya spika kukosa kufanya mabadiliko katika orodha ya uongozi wa bunge hilo. Spika wa bunge hili ameamrishwa na mahakama pamoja na chama cha Jubilee kuwatambua kiongozi wa wengi, kiranja pamoja na manaibu wawili lakini amekosa kufanya hivyo .




Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel