Homeboyz na Strathmore zaingia nusu fainali katika Impala Floodlit

182 views · Published 13 October 2018 · 0:24 · Indexed 5 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Homeboyz na Strathmore zimejikatia tiketi za nusu fainali ya kombe la Impala Floodlit.Homeboyz iliishinda Nakuru alama 37 kwa 30 huku Strathmore ikiishinda Nondies alama 25 kwa 23. hivi sasa Mwamba inachuana na KCB  na katika mechi ya mwisho ya robo fainali majirani Impala na Quins watachuana.

More from this channel