Padre Njoroge azikwa katika makaburi ya makasisi Msongari

1,273 views · Published 17 December 2018 · 2:49 · Indexed 1 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Aliyekuwa padre wa parokia ya Kinoo ya kanisa katoliki, katika kaunti ya Kiambu John Njoroge ambaye aliuawa jumatatu wiki iliyopita amezikwa leo katika makaburi ya mapadre mtaani Msongari hapa Nairobi huku viongozi wa kidini wakikashifu vikali mauaji hayo. ni katika ibada hiyo ambapo ilibainika kuwa huenda kifo cha kasisi huyo kina uhusiano na mzozo wa uongozi katika parokia hiyo.

More from this channel