Wakazi wa Kisauni na Nyali walalamikia ongezeko la visa vya mauaji

1,182 views · Published 5 November 2018 · 2:27 · Indexed 8 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wakazi wa maeneobunge ya Kisauni na Nyali kaunti ya Mombasa wanalalamikia ongezeko la visa vya mauaji ambavyo sasa vinawatia kiwewe. Kisa cha hivi punde ni mauaji ya mfanyabiashara eneo la Kadzandani.

More from this channel