Naibu wa rais awaalika Rais na Raila nyumbani kwake Karen

1,461 views · Published 2 November 2018 · 0:44 · Indexed 3 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Naibu rais William Ruto leo amewaalika Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa NASA, Raila Odinga kwa chakula cha mchana nyumbani mwake mtaani Karen, jijini Nairobi.

More from this channel