Tuzo za KPL 2018: Eric Kapaito wa Kariobangi Sharks ni mwanasoka bora zaidi
135 views · Published 26 October 2018 · 1:07 · Indexed 10 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Mshambuliaji wa Kariobangi Sharks Eric Kapaito ndiye mwanasoka bora wa ligi kuu ya kandanda humu nchini mwaka wa 2018, baada ya kutangazwa jana usiku katika taasisi ya serikali huko Lower Kabete. Kapaito ambaye alitia kimiani mabao 16 pia alituzwa tuzo ya mfungaji bora sawa na ya mchezaji mgeni ligini. Nyota huyu alijiunga na Kariobangi Sharks akitokea Talanta. Cliff Nyakaya wa Mathare United ndiye Kiungo bora huku Felly Mulumba wa Bandari akiwa beki bora. Faruk Shikhalo wa Bandari alikuwa mlinda lango bora naye Dylan Kerr wa mabingwa Gor Mahia alituzwa tuzo ya kocha bora aliyenyakua taji kukiwa kumesalia mechi 6 mbali na kushindwa mechi 4 pekee msimu wote. Tuzo ya mwenyekiti ilimwendea afisa wa masuala ya usalama wa kampuni ya KPL GMT Otieno. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao