Ford Kenya yalalamikia kupunjwa katika mgawo wa fedha

476 views · Published 25 November 2018 · 1:11 · Indexed 11 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Chama cha Ford Kenya kimesema kitaenda mahakamani wiki hii kuilazimisha ODM kuwagawia fedha walizopewa na bodi inayosimia vyama vya kisiasa kwa mchango wao kwa uchaguzi wa mwaka jana. Ford Kenya inasisitiza ilichangia pakubwa kumtafutia Raila Odinga wa ODM kura na haitakuwa haki kuwanyima kiasi cha fedha hizo zinazokisiwa kuwa takriban shilingi bilioni moja.

More from this channel