Seneta Sakaja ashutumu uamuzi wa Gavana Sonko kuhusu matatu

368 views · Published 3 December 2018 · 3:05 · Indexed 31 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Abiria wanaosafiri wakitumia magari ya uchukuzi wa umma katika kaunti ya Nairobi leo walilazimika kutembea mwendo mrefu kwenda maeneo ya kazi na nyumbani baada ya serikali ya kaunti kutimiza marufuku ya kuzuia matatu kuingia katikati ya jiji. Kumekuwa na msongamano mkubwa katika vituo tofauti vilivyotengewa matatu huku wengi wakitegemea magari ya kibinafsi au teksi kufika jijini.

More from this channel