Najib Balala alaumu shirika la KWS kwa vifo vya vifaru 11

499 views · Published 31 July 2018 · 3:51 · Indexed 25 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Waziri wa utalii na wanyama pori Najib Balala amelilaumu shirika la  KWS kwa vifo vya  vifaru 11 weusi wiki mbili zilizopita kwa kutozingatia maagizo kamili kuhusu uhamisho wao.
Akizungumza mbele ya kamati ya maswala ya mazingira waziri Balala aliiondolea wizara yake lawama na kudai wajibu wake ulikuwa kushuhudia  shughuli  hiyo ya kuhamisha vifaru hao..
Aidha, Balala ameomba msamaha kwa matamshi yake ya kujifakharisha dhidi ya wlaiomtaka awajibike. 

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel