Mwalimu wa madrasa apatikana na hatia ya kumlawiti mvulana
1,906 views · Published 31 October 2018 · 0:44 · Indexed 29 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Mwalimu wa madrasa apatikana na hatia ya kumlawiti mvulana. Mshukiwa huyo anayetambulika kama Omar Said Omar, alipatikana na hatia ya kumlawiti kijana huyo zaidi ya mara moja baada ya kijana huyo kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Kijana huyo alipatikana na michubuko katika sehemu zake za siri. Hata hivyo mahakama ilisita kumwachilia kwa dhamana hadi mshukiwa atakapo fanyiwa uchunguzi zaidi. Uchunguzi huo unatarajiwa kuchukuwa wiki mbili. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone