Watahiniwa waliojitahidi na kupita KCSE

149 views · Published 22 December 2018 · 3:04 · Indexed 20 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Baadhi ya watahiniwa wa KCSE waliofanya vyema walikabiliwa na mazingira magumu tangu wajiunge na shule zao za upili. Hali ya umaskini katika familia zao ilisababisha wengi wafanye bidii katika masomo yao na kupata matokeo waliyopata.

More from this channel