Ezra Chiloba amlaumu mwenyekiti Chebukati mbele ya PAC

320 views · Published 29 November 2018 · 3:05 · Indexed 27 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa IEBC, Ezra Chiloba, ameiambia kamati ya uhasibu ya bunge la taifa kuwa mwenyekiti, Wafula Chebukati, ana njama ya kumtia matatani kuhusiana na ubadhirifu wa fedha katika tume hiyo ili ajinasue. 
Kulingana na Chiloba, Chebukati alikuwa na hamu ya kujihusisha sana na utoaji zabuni na alijaribu  kushirikisha kampuni alizokuwa na uhusiano nazo kufanya biashara na tume hiyo ya uchaguzi.
Aidha, Chiloba amedai kuwa Chebukati anapaswa kuwajibikia kasoro zilizoshuhudiwa wakati wa uchaguzi mwaka jana.


Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel