Maaskofu wataka wahusika wa mimba za wanafunzi wachukuliwe hatua
462 views · Published 27 November 2018 · 1:03 · Indexed 30 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports
Baraza la maaskofu wa kanisa Katoliki linasema kuwa taswira ya utovu wa nidhamu imechochea ongezeko la mimba za mapema hasa kwa watoto wa shule. Aidha wanalaani vikali vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto ambavyo vimekuwa vikishuhudiwa nchini hasa ubakaji ambao wakati mwingine watu hubakwa na kuuawa. Pia, wamepinga vikali utumiaji wa vizuia mimba pamoja na utoaji wa mimba wakisema kuwa ni kinyume na maadili.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence