Ajali ya barabarani Mbagathi yaua watu wawili akiwemo mwanafunzi

1,559 views · Published 12 December 2018 · 1:49 · Indexed 9 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Aliyekuwa akifanya mazoezi agongwa na kufariki katika ajali iliyohusisha wanafunzi watatu wa chuo kikuu cha katoliki. Msimamizi wa maswala ya wanafunzi katika chuo hicho, Samuel Wakanyua, amesema mwanafunzi raia wa Tanzania amefariki na wenzake wawili mmoja mkenya na mwengine mtanzania wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Memorial na hospitali kuu ya Kenyatta.

More from this channel