Mama aliyeenda 'kesha' arudishwa nyumbani maiti

300 views · Published 13 November 2018 · 0:50 · Indexed 12 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Mwanamke mmoja kutoka kijiji cha Muting'ong'o eneo bunge la Malava  kaunti ya Kakamega anadaiwa kufariki katika mazingira ya kutatanisha baada ya kushiriki maombi ya kesha kanisani.

More from this channel