Babake Kalonzo Musyoka kuzikwa ijumaa wiki ijayo

986 views · Published 1 November 2018 · 1:06 · Indexed 9 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mjumbe maalum wa masuala ya miundomsingi katika muungano wa Afrika, AU,ambaye pia ni kinara wa NASA, Raila Odinga na seneta wa Baringo, Gideon Moi, walimtembelea kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, katika boma lake la Karen kuifariji  familia kufuatia    kifo cha babake,  Musyoka Mairu Jumapili iliyopita.

More from this channel