Matukio 2018: Hoja ya kura ya maamuzi

313 views · Published 20 December 2018 · 6:29 · Indexed 18 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Pendekezo la kuandaliwa kwa kura ya maamuzi nchini linaendelea  kuungwa mkono na wanasiasa ila tatizo ni maswali yatakayohitaji kupigiwa kura hiyo. Siasa zilizogubika mjadala huo zinaendelea kutia ukungu azma ya shughuli hiyo huku kukiwa na imani kwa baadhi kuwa kufaulishwa kwake huenda kukatumika kama njia ya kulipiza kisasi katika siasa.

More from this channel