Wakandarasi wapata maji wakichimba itakapopita reli ya SGR

1,915 views · Published 29 September 2018 · 2:38 · Indexed 23 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Zaidi ya familia 2,000 katika eneo la Kimuka, Ngong zitazika tatizo la uhaba wa maji katika kaburi la sahau baada ya maji safi kupatikana kwenye bonde utapojengwa mtambo wa reli ya kisasa, SGR, mtaani Ngong. Maji hayo yalipatikana na wakandarasi wanaojenga SGR walipokuwa wakichimba kupata nafasi itakapopitia reli. Maji hayo yatakuwa yanahifadhiwa kwenye matangi mawili ya lita milioni 1.6 kabla ya kusambazwa kwa wakaazi.

More from this channel