Wawakilishi wa bunge la Nairobi wasutwa kwa jinsi walivyomtimua spika Elachi

612 views · Published 10 September 2018 · 0:48 · Indexed 29 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mbunge wa Samburu Magharibi, Naisula Lesuuda pamoja na mwakilishi mwanamke kaunti ya Wajir, Fatuma Gedi wamejitokeza kumtetea spika wa Nairobi, Beatrice Elachi kutokana na kuvamiwa afisini mwake na wawakilishi wa wadi kaunti ya Nairobi hii leo. Viongozi hawa wameshutumu vikali nanma ambayo viongozi hao wamaetumia kutaka ang'atuke uongozini.

More from this channel