Msanii, Jamal Nasoor auawa kwa kudungwa kisu na 'mpenziwe'

2,675 views · Published 12 December 2018 · 1:06 · Indexed 12 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Msanii wa vipindi vya runinga, Aunty Boss, Junior na Vitimbi, Jamal Nasoor, ameuawa na mwanamke ambaye anasemekana kuwa mpenzi wake usiku wa kuamkia sikukuu ya Jamuhuri. 
Polisi katika kituo cha polisi cha Mavoko wanamzuilia mama huyo wa  umri wa miaka 40 ambaye ametambuliwa kama Grace Namulo.

More from this channel