Ukarabati wa barabara bora unatekelezwa Kajiado

240 views · Published 8 November 2018 · 1:10 · Indexed 23 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Zaidi ya familia 1,000 kaunti ya Kajiado sasa zitafaidika kutokana na mradi wa kukarabati barabara ambazo zimekuwa hazipitiki kutokana  na mvua kubwa inayonyesha eneo hilo.

More from this channel