Jamaa wa familia moja Bungoma auawa kufuatia mzozo wa ardhi

167 views · Published 15 November 2018 · 1:56 · Indexed 28 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Wenyeji wa kijiji cha Kamusinga huko Bungoma wanaendelea kutafakari mauaji ya jamaa anayedaiwa kuuawa na familia yake kufuatia mzozo wa ardhi. Wakaazi hao wameamua kuchukua sheria mikononi mwao na kuteketeza nyumba ya familia hiyo.

More from this channel