Wazazi washukiwa kuua binti yao huko Bungoma

381 views · Published 20 November 2018 · 1:10 · Indexed 11 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Polisi mjini Kitale katika kaunti ya Bungoma wanamsaka mwanamume ambaye anashukiwa kumuua bintiye katika siku ambayo alipokea matokeo ya mtihani wa KCPE. Inasemekana Abigael Mukhosi mwenye umri wa miaka 14 aliadhibiwa na wazazi wake kwa kutofika nyumbani usiku wa kuamkia Jumatatu huku ikidaiwa alilala nje na mpenzi wake.


Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel