Polisi wapanda miti kuhifadhi mazingira Migori

151 views · Published 13 October 2018 · 2:34 · Indexed 7 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Polisi mjini Rongo kaunti ya Migori wamepanda zaidi ya miti mia saba kama njia moja ya kuhifadhi mazingira katika eneo hilo. Na huko Mombasa polisi wamenasa mamia ya misokoto ya bangi katika eneo la Mtwapa. Kwa haya na mengi zaidi tupate mkusanyiko wa Matukio Majimboni.

More from this channel