Mtahiniwa wa KCSE afariki baada ya mtihani wa hisabati, Nyamira

1,246 views · Published 5 November 2018 · 3:05 · Indexed 9 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mtihani wa kitaifa wa KCSE umeanza leo kwa hisabati na kemia. Haya yanajiri huku waziri wa elimu, Amina Mohammed, akidokeza kukamatwa kwa mwalimu Wajir kwa madai ya kumpa ujauzito mwanafunzi. Mwaka huu kumeshuhudiwa idadi kubwa ya wanafunzi katika sehemu tofauti waliofanya mtihani baada ya kujifungua.

More from this channel