Taswira ya jamii: Huduma za wakunga wa 'kienyeji'

422 views · Published 27 July 2018 · 4:10 · Indexed 25 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Licha ya huduma za bure kwa wajawazito kujifungua hospitali,  idadi ya wanaoenda kwa wakunga wa nyumbani ingali kubwa. Katika mtaa wa Mathare, jijini Nairobi kuna Mkunga Nyalego Aoko ambaye kama anavyoeleza Kaltun Jama amekuwa maarufu sana kwa kina mama wengi kutokana na huduma anazotoa.

More from this channel