Mvutano waibuka miongoni mwa wadau wa uchukuzi kuhusu mfumo mpya wa BRT

100 views · Published 9 December 2018 · 2:53 · Indexed 15 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Muungano wa wafanyakazi wa matatu nchini umekashifu hatua ya serikali kutosajili tena magari ya uchukuzi wa umma ya abiria 14 bila kutoa mpango mbadala. Haya yajiri huku muungano pinzani wa chama cha wamiliki wa matatu wakikashifu uongozi wa muungano wa wafanyakazi wa matatu nchini na muungano wa wamiliki wa matatu unaoongozwa na Simon Kimutai kwa madai ya kula njama fiche na serikali ili kufaidika na mradi wa mabasi ya mwendokasi maarufu BRT,utakaozinduliwa na serikali.

More from this channel