Serikali, KNUT zashinikizwa kuzungumza ili kuepuka mgomo
107 views · Published 26 December 2018 · 3:00 · Indexed 11 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Chama cha walimu nchini, KNUT, kimeshikilia kuwa mgomo wa walimu wa shule za msingi na za upili ungalipo kuanzia tarehe TATU mwezi Januari, siku ambapo shule zinatarajiwa kufunguliwa upya kwa muhula wa kwanza. KNUT imepuuzilia mbali ombi la TSC kuwataka kurejea kwenye meza ya mazungumzo ikisema kuwa itarejea tu kwa mashauriano iwapo TSC itafutilia mbali uhamisho wa zaidi ya walimu 3,000 ambao tayari wamepokea barua za uhamisho.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao