Gavana Obado atasalia rumande usiku huu baada ya kukamatwa jana

240 views · Published 15 November 2018 · 2:17 · Indexed 8 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Gavana wa kaunti ya Migori, Okoth Obado, atalala kizuizini katika kituo cha polisi cha Gigiri jijini Nairobi akisubiri ombi lake la dhamana kusikizwa kesho. Obado alifikishwa mahakamani kuhusiana na bunduki zilizopatikana nyumbani mwake.

More from this channel