Waziri Matiang'i kuongoza mkutano wa usalama kaunti ya Mandera

524 views · Published 21 October 2018 · 2:36 · Indexed 9 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wakazi wa kaunti ya Mandera wamehimizwa kuepukana na ubaguzina uhasama wa kikabila na badala yake kuungana katika kukabiliana na hatari ya makundi haramu katika eneo hilo. Haya yanajiri huku waziri wa usalama wa kitaifa Fred Matiangi akitarajiwa kufika huko Kesho kw amkutano wa kiusalama.




Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel