Mwanamume akamatwa Kiserian kwa kumuumiza mpenziwe

2,464 views · Published 19 November 2018 · 2:53 · Indexed 1 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mwanamume katika mtaa wa Kiserian kaunti ya Kajiado amekamatwa baada ya picha za majeraha ya mkewe ziliposambazwa katika mitandao ya kijamii. Anthony Mungai anadaiwa kumpiga mkewe Judy Mwai kwa sababu hakupendezwa na marafiki zake ambao kulingana naye wanampotosha mkewe.

More from this channel